Bongofree- African Social Network | Business Directory
Makunga kusomewa maelezo ya awali leo
- Details
- psyncteanna
1
Boniface Meena
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo itamsomea maelezo ya awali aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited, Theophil Makunga ambayo hakuweza kusomewa Aprili 24 mwaka huu kutokana na kutokuwepo kwa hakimu Waliarwande Lema anayeisikiliza kesi hiyo.
Makunga anakabiliwa na shtaka la kuchapisha makala...

Millya akoleza moto wa Lowassa CCM
- Details
- psyncteanna
1Fidelis Butahe
WAKATI kada wa CCM na Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa akisema tatizo la chama hicho ni uongozi, mshirika wake kisiasa, James Ole Millya ambaye amejiunga Chadema hivi karibuni amejitokeza na kumuunga mkono huku akisema tatizo jingine linalokikabili chama hicho tawala ni makundi.
Mbali ya Ole Millya, Mwenyekiti wa CCM...
Authority to issue national IDs in three months time
- Details
- psyncteanna
1
By Frank Kimboy,The Citizen Reporter
Dar es Salaam. National Identification Authority (Nida) will start issuing national identity cards three months from now, the Authority’s executive director, Mr Dickson Maimu, told reporters yesterday.
Initially Nida planned to start issuing the IDs to government employees in April, but Mr Maimu said various...